Wednesday, 20 September 2017

Nyalandu Kumpeleka Tundu Lissu Marekani Kwa Matibabu Zaidi.

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu, amesema anasubiri ripoti ya madktari wa Agha Kan Nairobi, ili kuweza kuchukua hatua zaidi za kumhamishia Marekani Tundu Lissu kwa matibabu zaidi.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment