Friday, 26 January 2018

BODI YA MIKOPO IMEDUKULIWA (HACKED) MUDA HUU

Website ya Bodi ya mikopo ilikuwa inatumika kusajili wanafunzi waliopata mikopo ime hackiwa (be hacked) na watu wasipjulikana. Hivyo zoez la usijili halitawezekana kwa sasa hadi hapo ufumbuzi wa kitaalamu utakapopatikana.

Taarifa hizo zimetokea kipindi amabacho wanafunzi wakiwa ktk harakati za kukamilisha usajili huo ili kuondoa usumbufu wa kupanga foleni wakati pesa yao ya kujikimu ikitumwa vyuon.

Hata hivyo HACKERS hao wamejitambulisha kwa jina la "TANZANIA HAKERS CREW"

wakidai kuwa wamemaliza masomo lakini ajira hakuna, hivyo kuiomba serikali kuwaajiri. Na pia wamemuonya admin wa website hiyo.

Usisahau kutembele a blog yangu kwa updates nyingi zaidi.

www.sonsoge.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment