Monday, 31 July 2017

Aliyeanzisha kampeni ya 'Magufuli Baki' akimbilia TCRA

Mmalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kufuatilia kwa makini  mawasiliano ya simu za mkononi ili kubaini watu wanaotumia mitandao hiyo  kinyume na sheria. Ombi hilo limetolewa na mwanaharakati Lawrence Mabawa  jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari vitisho anavyopata kupitia simu ya mkoni baada ya kutambulisha kampeni yake ya ‘BAKI MAGUFULI’. Kwa mujibu wa Mabawa, baadhi ya wananchi wameelewa vibaya...

Thursday, 27 July 2017

Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto Tabora

Watu watano wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wanaosaidikiwa kuwa ni sungusungu katika kata ya Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora.   Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amezitaka Kamati za Ulinzi na usalama ngazi ya mkoa na ile ya Wilaya ya Nzega kusitisha shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na sungusungu katika kijiji hicho. Mwanri amesema kuwa amechukua hatua hiyo baada ya sungusungu hao kutekeleza mauaji hayo ya watu watano ambao...

JPM 'aipa tano' TCU kwa kufungia vyuo

Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kuzuia udahili wa wanafunzi wote wa mwaka kwanza katika vyuo vikuu 19 na kuzuia udahili wa wanafunzi wa kozi 75 katika vyuo vikuu 22 kutokana na dosari zilizobainika wakati wa ukaguzi wa ubora vyuo hivyo uliofanyika Oktoba 2016. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo alipowasili jijini Dar es Salaam leo akitokea mkoani Dodoma ambapo akiwa katika eneo la Tegeta wilaya ya Kinondoni amezungumza...

Wednesday, 26 July 2017

Serikali yatangaza ajira 3,152 sekta ya afya

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetangaza ajira 3,152 kwa ajili ya wahitimu wa kada mbalimbali za afya nchini. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na wizara hiyo, ajira hizo ambazo zinatolewa kwa kibali cha wizara ya utumishi na utawala bora, ni kwa ajili ya watumishi kutoka kada 33 za afya. Baadhi ya kada zilizotangazwa ni pamoja na madaktari, wataalam wa maabara, wauguzi/wauguzi wasaidizi, matabibu wasaidizi, wataalam...

Shilingi 180,000 za mjamzito zamtokea puani mganga mkuu

Waziri wa afya, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Mlandizi, Stanley Mpola  kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake. Waziri Ummy ametoa agizo hilo alipotembelea kituo hicho cha afya kabla ya kukabidhi magari matatu ya kubebea wagonjwa, mawili yakiwa yametolewa na mbunge wa Kibaha Vijijini, Amoud Jumaa na moja likiwa ni ahadi ya Rais John Magufuli. Akiwa katika kituo hicho waziri huyo alipewa malalamiko kutoka...

Thursday, 13 July 2017

Ukosefu wa bangi wasababisha dharura kutangwazwa Nevada, Marekani

Maafisa katika jimbo la Nevada nchini Marekani wanachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba wa bangi. Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe mosi mwezi huu. Hii imetokana na ukosefu wa wauzaji wa autosha. Sheria iliwapa wauzaji wa pombe ruhusa ya kuuza bangi lakini wengi hawatimizi mahitaja ya leseni kuweza kuuza bidhaa hizo. Idara ya kodi katika jimbo hilo ilitangaza dharaua, inayomaanisha kuwa...

Tuesday, 4 July 2017

GEOGRAPHY U.E PAPERS SOLVED (PROF.MUSHALA)

COURSE NAME: PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT COURSE CODE:GE : 349 LECTURER: PROF.MUSHALA TASK : SOLVED U.E 2 PAPERS OF 2014/2015-2015/2016 1. Discuss the Basic Roles and Responsibilities of a Project Manager in a project Project Manager The project manager is the person who is responsible for ensuring that the project team completes the project. The project manager develops the project plan with the team and monitors the team’s...