RAIS WA AJUCO NA MAKAMU WAKE
Hatimaye ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni leo tarehe 1/7/2017 katika ukumbi wa NYERERE 0NE ,ambapo rais aliyeshinda kiti cha urais katka chuo kikuu cha AJUCO MR. SUNGURA ameapishwa , pamoja na makamu wake wa rais MADAM KOLADINA, na baada ya kuapishwa watakabidhiwas ofisi na kuanza kutekeleza majukumu yake ya kiuongozi.
SUNGURA
''Naahidi nitaimarisha elimu bora na itakuwa ni ya kibiashara, yenye manufaa kwa wanafunzi wa AJUCO.''
SUNGURA
''Nawaomba wanafunzi wenzangu kuwa linapotokea tatizo tufuate ngazi moja baada ya nyingine ktk kutatua matatizo yetu na siyo kuenda moja kwa moja kwa PRINCIPAL''.
SUNGURA
''Nimeamua/Niliamua kumchagua Madam KOLADINA ili aweze kutusaidia kutatua changamoto za kisheria ili kila mwanachuo ajue haki zake''
0 comments:
Post a Comment