Dar es Salaam. Watanzania 27 wamejeruhiwa katika ajali ya basi kampuni ya Falcon walilokuwa wakisafiria kutokea Tanzania kuelekea Uganda, baada ya kuangukia upande wa kushoto njia kuu ya Masaka, Uganda.
Abiria hao walikuwa njiani kuelekea Namugongo katika sherehe za siku ya Martyrs ambayo ahudhimisha na waumini wa Kanisa Katoliki kote duniani kila ifikapo Juni 3.
Polisi nchini Uganda wanasema basi hilo lenye usajili namba T967-BTA lilishindwa kupanda mlima iliyopo kati ya eneo la Kyatera na Masaka baada ya breki ya gari hizo kufeli na kusababisha ajali.
Hata hivyo polisi hao wamesema hakuna majeruhi walio kwenye hali mbaya.
Miongoni mwa waliojeruhiwa ni Maria Ngonyari, Robert Imman (40), Alex Rono (64), Angela Kigulwe Biringi (65), Gloria Mwisa (29), Emiyana Babweiga (65) na Julliet Arshdes (40).
Kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema ni kweli ajali hiyo imetokea na kwamba majeruhi wapo katika hali nzuri.
“Majeruhi walitibiwa na kisha kuendelea na safari hakuna aliyeumia sana,” amesema Mpinga
Tuesday, 30 May 2017
Home »
» Basi la Falcon lapata ajali Uganda, Watanzania 27 wajeruhiwa
Basi la Falcon lapata ajali Uganda, Watanzania 27 wajeruhiwa
Related Posts:
Mgahawa wakumbwa na habari bandia za kuuza ''nyama ya binadamu'' Image captionMkahawa wakumbwa na habari bandia za kuuza ''nyama ya binadamu'' Mgahawa mmoja mjini London umekumbwa na habari bandia za kuuza nyama ya mtu. Wafanyiakazi katika mgahawa wa Karri Twist katika eneo la New Cross… Read More
Aliyejaribu kumbusu nyoka aumwa usoni MarekaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNyoka huyo anaaminika kutokeka baada ya kisa hicho. Mwanamume mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ambaye alijaribu kumbusu nyoka na badala yake nyoka huyo akamuuma, anaen… Read More
MAAJABU:Mchoro wauzwa kwa $110.5m MarekaniHaki miliki ya pichaYUSAKU2020, INSTAGRAMImage captionMchoro wa msanii Jean Michel Basquiat umeauzwa katika mnada mjini New York kwa takriban dola milioni 110.5. Mchoro wa msanii Jean Michel Basquiat umeauzwa katika mnada mji… Read More
Marufuku ya uuzaji wa nyama ya mbwa yasababisha wasiwasi China Sherehe ya kula nyama ya mbwa nchini China ilio na umaarufu kwa ukatili wa wanyama mwaka huu itapigwa marufuku kuuza nyama ya mbwa. Ulaji wa mbwa nchini China sio haramu na wauzaji wa nyama hiyo tayari wameanza kulalamikia… Read More
SIMU YAMPONZA:Mwanamume amshtaki mwanamke aliyetumia simu akichumbiwa MarekaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES Mwanamume mmoja katika jimbo la Texas, Marekani anadaiwa kuwashtaki mwanawake ambao aliyekuwa amemlipia wakatazame sinema walipokuwa wanachumbiana lakini akaanza kutumia simu yake kutuma ujumb… Read More
0 comments:
Post a Comment