Wednesday 31 May 2017

PICHA: Kwa mara ya kwanza Rayvanny amempost mtoto wake na Ujumbe mzito


 Mwimbaji staa wa Bongofleva kutoka WCB Rayvanny leo May 31, 2017 kupitia account yake ya Instagram kwa mara ya kwanza amepost picha ya mtoto wake Jaydan ikiwa ni kumtambulisha kwa mashabiki wake.
Rayvanny aliandika kwenye picha hiyo:>>>“Mungu Akukukuze Mwanangu, Katika Mema na Mafanikio Katika Maisha Yako.Wewe Nifuraha Yangu Na pia Wewe Ndio sababu Ya Mimi kumwaga Jasho Nakufanya Kazi kwa Bidii Kila Siku. Ni bora Nikose Vyote Lakini Sio Wewe Mwanangu. I LOVE YOU SON” – Rayvanny


SOURCE:MUUNGWANA

0 comments:

Post a Comment