Sunday, 28 May 2017

Watu watatu wafa na mmoja kanusurika Rufiji

Rufiji. Watu watatu  wamefariki dunia kwa kuzama majini na mmoja kunusurika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakivukia kuzama bwawani wilayani Rufiji mkoani Pwani.

Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Ofisa Tarafa ya Ikwiriri, Suleimani Mpangile aliwataja marehemu hao kuwa ni Sijali Abdallah (14), Zuberi  Penya (11) wakazi wa Umwe Ikwiriri  na Salehe Saidi (31) mkazi wa Dar es Salaam.

Mpangile pia alimtaja aliyenusulika kifo kuwa ni Musa Mkamba ambaye alikuwa akiwavusha marehemu hao.

Alisema chanzo cha vifo hivyo ni mtu

0 comments:

Post a Comment