Thursday, 25 May 2017

Kikwete aanza kazi na Mgogoro wa Libya

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho kikwete ameanza kazi kama Mwenyekiti Mwenza katika Baraza la Kimatifa la Wakimbizi ambapo ameanza kazi yeye na jopo lake ya kutaka kusuluhisha Mgororo wa muda mrefu wa nchin ya Libya.


Kikwete kwa mara ya kwanza juzi akiwa kwenye Mkutano wa Kimataifa, kwa ajili ya kujadili kuikomboa libya kutoka kwenye mgogoro wa mda mrefu ambapo unapelekea wananchi wa nchi hiyo kuwa wakimbizi wa nchi za Magharibi.

source:muungwana

0 comments:

Post a Comment