Dodoma. Siku moja baada ya klabu ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho, imepata mwaliko bungeni.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC ya jijini Mwanza, bao lililopatikana ndani ya dakika ngumu 120 katika mchezo uliopigwa jana Jumamosi makao makuu Dodoma kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Kwa matokeo hayo, Simba imekata tiketi ya kupanda ndege na kuungana na watani zao Yanga. Simba watawakilisha Taifa katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).
Pia, baada ya kupeleka kombe hilo bungeni, itakwenda Kondoa kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki na Kondoa Kombaini.
Baada ya kukamilisha ratiba hiyo, itasafiri kwa basi kurudi Dar es Salaam tayari kujiandaa na mashindano ya Ligi ya Sportpesa.
Sunday, 28 May 2017
Home »
» Simba wapata mualiko bungeni kesho Jumatatu
Simba wapata mualiko bungeni kesho Jumatatu
Related Posts:
Muwindaji alaliwa na kuuwawa na ndovu ZimbabweBwana Botha an umri wa miaka 51 na baba wa watoto watano kutoka mkoa wa Limpopo nchini Afrika Kusini. Mtaalamu mmoja wa uwindaji ameuwawa baada ya kulaliwa na ndovu ambaye alikuwa amepigwa risasi Mtandao wa anaripotiwa kupig… Read More
Rubani aliyeiba ndege ya Usovieti na kuipeleka Japan Tarehe 6 mwezi Septemba mwaka 1976 ndege ilionekana ghafla kutoka kwenye mawingu karibu na mji wa Hakodate katika kisiwa kilicho kaskazini cha Hokkaido nchini Japan Ilikuwa ndege yenye injini mbili lakini haikuwa ndege ya … Read More
Trump: Iran haitaruhusiwa kumiliki silaha za nukliaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionDonald Trump (kushoto) na Benjamin Netanyahu wakiwa na wake zao uwanja wa ndege wa Tel Aviv Rais wa Marekani Donald Trump ameanza ziara yake nchini Israel kwa kuonya kuwa kuna tisho kut… Read More
Mkurugenzi Mwanza kibanoni kwa kutoa zabuni ‘kinyemera’ Baraza la Madiwani wamemuweka kiti moto Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, baada ya kujenga chini ya kiwango mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya takataka katika dampo la Buhongwa.Madiwani wa jiji hilo wana… Read More
Aliyejaribu kumbusu nyoka aumwa usoni MarekaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNyoka huyo anaaminika kutokeka baada ya kisa hicho. Mwanamume mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ambaye alijaribu kumbusu nyoka na badala yake nyoka huyo akamuuma, anaen… Read More
0 comments:
Post a Comment