Taarifa kwa wanafunzi wote wa form six na walikwisha maliza kidato cha sita na wangependa kujiunga na chuo kikuu kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
bonyeza link hapo chini kuweza kuona utaratibu mpya.MABADILIKO YA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
We connect you with the world.
Trump na Macron walisamiana vipi Brussels?Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionTrump na Macron walisamiana vipi Brussels?
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amekiri kuwa, mkono wa nguvu aliompa Rais Donald Trump katika mkutano wa NATO mjini Brussels siku ya Alhamis… Read More
Kutana na mbuzi wanaopanda juu ya miti nchini Morocco
Mbuzi hawa hupanda juu ya miti kujitafutia chakula
GETTY IMAGES
Mbuzi huu anakula, ufarikiri yuko wapi
GETTY IMAGES
Yuko juu ya mti . Maneo kama haya ya Morocco mbuzi hupanda juu ya mti kujitafutia chak… Read More
DIMBWI LA MAHABA: Jinsi ya kudhibiti hasira kwenye uhusiano
KAMA ilivyo barabara ambayo ina mabonde, milima na mashimo na wakati mwingine kunyooka, ndivyo ulivyo hata uhusiano wa kimapenzi. Hakuna uhusiano wowote usiokabiliwa na changamoto ya mgongano wa fikra, kutofautiana na waka… Read More
Kiongozi wa Iran aikosoa vikali Saudi ArabiaHaki miliki ya pichaAFPImage captionKiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei
Kiongozi wa kidini nchini Iran , Ayatollah Ali Khamenei, ametoa matamshi makali dhidi ya hasimu wake Saudi Arabia.
Akihutubia waumini wa dini ya kii… Read More
Madai ya mipango ya Rais Zuma kuhamia Dubai yaibuka Afrika Kusini
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionJe, Rais Zuma ana mipango ya kuhamia Dubai?
Nchini Afrika kusini kashfa mpya inatokota inayozingira madai ya rais Jacob Zuma ya kuzingatia kuhamia Dubai.
Barua pepe hizo zimechapishw… Read More
0 comments:
Post a Comment