Tuesday 23 May 2017

Gigy Money amponza Mshauri wa Act-Wazalendo


 Video za mahaba zilizovuja za wakili msomo Albarto Msando na Video Queen maarufu jijini Dar es Salaam , Giggy Money ni sabubu kubwa ya kujiuzulu kwa wakili huyo kwenye nafasi ya ushauri wa Chama Cha Act-Wazalendo.

Msando aliteuliwa kuwa Msahuri Mkuu wa Chama hicho wiki moja iliyopita baaada ya maazimizo ya Chama hicho yaliyofanyika Shinyanga.

Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama hicho amethibitisha kujiuzulu kwa mshauri huyo.

0 comments:

Post a Comment