Mwigizaji maarufu wa filamu za James Bond Roger Moore amefariki.
Katika taarifa ya familia yake marehemu iliochapishwa katika mtandao wake wa Twitter, walisema ''ni vigumu kutangaza kifo cha baba yetu Roger Moore ambaye amefariki nchini Switzerland baada ya kuugua saratani''.
Roger Moore ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 89 alirahisisha kazi ya James Bond , jukumu ambalo lilimfanya kuwa maarufu sana.
Ilianza filamu ya Sean Connery ya 007 na baadaye sardonic humor ambayo ilizua hisia nyingi.
Aliwahi kuwa mwigizaji aliyeigiza kwa kipindi kirefu katika filamu ya James Bond huku filamu zake 7 za Bond zikiuzwa sana.
Roger Moore alizaliwa mjini Stockwell kusini mwa mji wa Landon mnamo tarehe 14 Oktoba 1927 akiwa mwana wa afisa wa polisi.
Akiwa katika umri wa miaka 15 alienda chuo kikuu kabla ya kuwa mwanafunzi katika uhaishaji Studio ambapo alifurahia sana.
Tuesday, 23 May 2017
Home »
» Mwigizaji maarufu wa filamu za James Bond Roger Moore amefariki
Mwigizaji maarufu wa filamu za James Bond Roger Moore amefariki
Related Posts:
Wapelekwa kortini kwa tuhuma za kuiba kanisani WAKAZI wa wawili wa Ubungo Riverside, Dar es Salaam, Ayubu Sanga (21) na Nafaife Kayinga (19) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kwa tuhuma za kuiba vitu vyenye thamani Sh 1,025,000 katika Kanisa la… Read More
Gerard Pique awaponda tena Real Madrid. Kama kuna kitu kinawakera mashabiki wa Real Madrid baasi ni mtu anayeitwa Gerard Pique, mlinzi huyu wa kati wa Barcelona amekuwa hawezi kuikalia kimya Real Madrid hata kama wamefungwa au wameshinda.Baada ya Real Madrid kufa… Read More
Dereva Bodaboda afariki dunia huku akiwa amembeba Askari Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga leo limewatawanya madereva bodaboda zaidi ya 100 waliokuwa wanaandamana kuelekea eneo la Ibinzamata kwenye msibani kwa dereva mwenzao Joel Mamla (26) ambaye alifariki dunia jana akiwa amempa… Read More
Diamond Platnumz ataja moja ya vigezo vya kujiunga na familia ya WCB Mwimbaji staa wa Bongofleva kutoka WCB Diamond Platnumz amefunguka kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM na kusema kuwa sifa ya kwanza ya WCB ni kumtoa msanii kwenye hali ngumu ili waweze kufanikiwa wote kwa kuwa huwa na adabu na… Read More
Breaking: ACT-Wazakendo watoa Maamuzi kuhusu Anna Mghwira Haya ndio maamuzi waliotoa ACT- wazalendo kuhusu Anna Mghwira SOURCE:MUUNGWANA … Read More
0 comments:
Post a Comment