Wednesday, 31 May 2017

Daktari wa upasuaji matiti afungwa jela miaka 15

 Daktari wa upasuajia wa matiti Ian Paterson amefungwa jela miaka 15 kwa kufanya upasuaji usio muhimu.

Paterson, mwenye umri wa miaka 59, aliwafanyia upasuaji wanawake tisa na mwanamume mmoja baada ya kuwadanganya kuwa walikuwa na saratani ya matiti.

Amepatikana na hatia ya mashtaka 17 ya kujeruhi kwa makusudi, baada ya kesi iliyodumu kwa mwezi mmoja uliopita.

Jopo la mahakama ya Nottingham liliambiwa kuwa Paterson alizidisha ama kubuni hatari ya saratani.

Mahakama iliambiwa kuwa alifanya upasuaji wa matiti kwa "sababu zisizojulikana" ambazo ni pamoja na shauku ya "kupata pesa za ziada".

Related Posts:

  • SOMA: Ronaldo alivyojitetea kuhusu tuhuma za ukwepaji kodi Mchezaji huyo, jana Jumanne aliandikiwa barua na akitakiwa kujibu mashtaka yaliyoandaliwa na mamlaka ya kodi mjini Pozuelo de Alorcon.Mwanasheria wa Cristiano Ronaldo amepinga vikali tuhuma zinazoelekezwa kwa mshambuliaji h… Read More
  • Ivo Mapumba azibebesha lawama Simba na Yanga Aliyekuwa golikipa wa vilabu mbalimbali vikubwa Afrika Mashariki ikiwemo Simba, Yanga, Azam, Gor Mahia na Taifa Stars, Ivo Mapunda amevilaumu vilabu vya Simba na Yanga kwa kudharau na kutokuona umuhimu wa michuano ya SportP… Read More
  • Mbowe atema nyongo Siku moja baada ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Galasius Byakanwa kuongoza uondoaji wa miundombinu katika shamba la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, mwenyekiti huyo ameandika hivi ivi katika ukurasa wake wa Instagram:"Najua … Read More
  • Hili ndilo janga la tatu alilolipata Mbowe Masaibu yanazidi kumkumba Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada ya Serikali kung’oa miundombinu ya umwagiliaji katika shamba lake.Hilo ni janga jingine kwa Mbowe baada ya miezi michache iliyopita kutaj… Read More
  • John Heche: Ndege za ACACIA kupigwa mawe Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefunguka na kusema kwa kuwa Rais Magufuli kupitia ripoti ya pili ya mchanga amesema kampuni ya ACACIA ni feki na haipo basi yeye anawaambia wana… Read More

0 comments:

Post a Comment