Wednesday, 31 May 2017

HATIMAYE:Niko tayari kuondoka Barcelona- Iniesta


Nohodha wa Barcelona, Andres Iniesta bado ana ndoto za kuzeekea kwenye Liga ya La Liga, huku akisema kwamba iwapo atatakiwa kuondoka yupo tayari kufanya hivyo.

Iniesta mwenye miaka 33 mkataba wake unamalizika katikati ya mwaka 2018 na hatima yake imebaki njiapanda. Msimu huu alianza mechi 13 za ligi msimu huu.

Kiungo huyo alisema bado ndoto zake ni kustaafu maisha ya soka akiwa kwenye klabu yake ya Barcelona ambayo alijiunga  tangu akiwa na miaka 12, akichezea timu ya vijana.

Related Posts:

  • Simba wapata mualiko bungeni kesho Jumatatu Dodoma. Siku moja baada ya klabu ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho, imepata mwaliko bungeni.Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC ya jijini Mwanza, bao lililopatikana ndani ya dakika ngumu 120… Read More
  • Mkapa na Kikwete watajwa ishu ya mchanga Mwenyekiti  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema marais wastaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, wanahusika na sakata la mchanga wa madini (makinikia) unaosafirishwa nje ya nchi. … Read More
  • Kutana na Nchi ambayo hufungwi kwa kumpa ujauzito mwanafunzi Tanzania tumewahi kusikia mara kadhaa mabinti wakifukuzwa shule kwa kupata ujauzito wakiwa mashuleni lakini na mtu aliyempa ujauzito kufungwa, kumbe kwa Gabon ipo tofauti,  ikitokea msichana akapata ujauzito akiwa shu… Read More
  • Askofu Gwajima afunguka juu ya sakata la madini Dar es Salaam, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ni muhimu madini yasichimbwe hadi itakapowekwa mashine za kuchenjua makinikia.                   &nbs… Read More
  • Mgeja akasirishwa na kauli ya Polepole Morogoro. Mwenyekiti wa Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja amemuonya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hampyrey Polepole aache mara moja kugeuza matukio ya kuuawa Watanzania katika Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani… Read More

0 comments:

Post a Comment