Wastara afunguka kwa Uchungu Kuhusu Zari Kutukanwa:
From @wastara84 - Ukimuona nyani kazeeka na bado anaishi ujue kakwepa mishale mingi saana mtanisamehe kwa masamiati huu
Lakini mim ni mama sijawahi kusahau uchungu wa mwana na wala sijamsahau aliyenifanya niitwe mama lakini usiniulize kwanin sipo na niliyezaa nae ni mambo binafsi sana sio lazima kila mtu ajue
Lakini akifa nitaenda na ikibidi kulia nitalia sababu alikuwa na bado atakuwa baba wa watoto wangu.....
Lakini why why why mtu atukanweee weee asemwee kipindi kibaya cha uchngu na mawazo kama hiki hivi jamani mnajua kufiwa kweli wenzangu mbona hili la zari kutukanwa limenishinda kabsa kuvumulia...
Mtazameni huyo mtoto mdogo kwenye pic anamtazama babaake kwenye pic aliyoishika huku akitabasam utafikiri anasema baba upo umeenda kutembea siku moja utaludi tuu
Pangine
Ajui hta maana kufa ailewi aelewi maskini
Acheni basi fikirieni machungu yenu mpate hata robo ya maumivu wanayopata viumbe hawa #kufaanapesaavifanani
Pole wafiwa @zarithebosslady
Mungu amlaze mahali pema ivan ameen
source:muungwana
Tuesday, 30 May 2017
Home »
» Wastara awajia juu wanaomtukana Zari
Wastara awajia juu wanaomtukana Zari
Related Posts:
Serikali yatangaza ajira 3,152 sekta ya afya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imetangaza ajira 3,152 kwa ajili ya wahitimu wa kada mbalimbali za afya nchini. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na wizara hiyo, ajira hizo ambazo zinatolewa k… Read More
JPM 'aipa tano' TCU kwa kufungia vyuo Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kuzuia udahili wa wanafunzi wote wa mwaka kwanza katika vyuo vikuu 19 na kuzuia udahili wa wanafunzi wa kozi 75 katika vyuo vikuu 22 kutokana na dosari zili… Read More
Watoto walioungana kutengenishwa baada ya miezi sita Daktari Bingwa Hospitali ya Taifa Muhimbili aliyebobea katika fani ya upasuaji wa watoto Afrika Mashariki, Zaituni Bokhari amesema baada ya kufanya vipimo, imegundulika kuna uwezekano wa kuwatenganisha watoto mapacha waliozal… Read More
Aliyeanzisha kampeni ya 'Magufuli Baki' akimbilia TCRA Mmalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kufuatilia kwa makini mawasiliano ya simu za mkononi ili kubaini watu wanaotumia mitandao hiyo kinyume na sheria. Ombi hilo limetolewa na mwanaharakati Lawrence Maba… Read More
Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto Tabora Watu watano wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wanaosaidikiwa kuwa ni sungusungu katika kata ya Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amezitaka Kamati za Ulinzi na usalama … Read More
0 comments:
Post a Comment