Thursday, 11 May 2017

Dawa za kupunguza makali ya HIV

Dawa za kupunguza makali ya Ukimwi
Watafiti nchini Uingereza wanasema dawa za kupunguza makali ya virusi katika Ulaya na Amerika ya Kaskazini zimeboreshwa kiasi kwamba watu mwenye Virusi vya UKIMWI wanaweza kuishi kwa karibia sawa tu na watu wengine wasio na virusi.
Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha Bristol, waliwachunguza watu wenye virusi vinavyosababisha UKIMWI wapatao elfu tisini. Makadirio yao yanaonesha kuwa mtu mwenye umri wa miaka 21 aliyeanza matibabu mwaka 2008 au baadaye anaweza kuishi mpaka kufikia umri wake wa miaka 70.
Zaidi ya watu milioni mbili wanaishi na Virusi vya UKIMWI katika Ulaya na Amerika Kaskazini.
Kwa upande wa Takwimu za ulimwengu, watu walioathirika na virusi hivyo ni milioni 36 wengi wao wakiwa barani Afrika.

source:BBC

Related Posts:

  • Spika Ndugai atamani kupanda mabasi ya mwendo kasi Dodoma.  Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anatamani kupanda mabasi ya mwendo wa haraka yaliyoko jijini Dar es Salaam.Pia, ameishauri kampuni ya usafiri ya Udart kuangalia uwezekano wa kuwekeza mjiniDodoma.Akizun… Read More
  • Mume amuua mkewe kwa kipigo Mwanamke mmoja amekutwa akiwa amefariki dunia chumbani kwake huku mwili wake ukiwa na majeraha baada ya kupigwa na mumewe, wilayani ilemela mkoani Mwanza.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amesema kwamba tuki… Read More
  • Mpoto aachiwa kitu na marehemu mzee Ngosha wa nembo ya taifa Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena. Mpoto amefunguka hayo ku… Read More
  • Ivan Don Azikwa na Mamilion ya Pesa Kaburini  KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hlo kaburi lilindwe hata miez… Read More
  • Wastara awajia juu wanaomtukana Zari Wastara afunguka kwa Uchungu Kuhusu Zari Kutukanwa:From @wastara84 - Ukimuona nyani kazeeka na bado anaishi ujue kakwepa mishale mingi saana mtanisamehe kwa masamiati huuLakini mim ni mama sijawahi kusahau uchungu wa mwana … Read More

0 comments:

Post a Comment