Msanii Darassa atatumbuiza katika mechi ya fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Darassa ambaye anaendelea kutamba na singo yake ya muziki, tayari amethibitisha kutumbuiza katika fainali hiyo.
“Kweli nitakuwa pale Uhuru kutumbuiza, mashabiki nawakaribisha tupate darasa la burudani ya uhakika ya muziki na soka,” alisema.
Darassa ameahidi kutumbuiza nyimbo zake kadhaa ambazo zinatamba ukiwemo ule mpya.
Fainali ya “Derby ya Mashemeji”, inachezwa kwa mara ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kabla timu hizo, nje ya Kenya zimekutana Sudan na Ethiopia na mara zote Gor Mahia walishinda.
Lakini kesho, mshindi wa fainali hiyo atacheza mechi dhidi ya Everton na kila upande umepania kushinda.
Saturday, 10 June 2017
Home »
» Darasa kutumbuiza kwenye fainali ya SportPesa Super Cup
Darasa kutumbuiza kwenye fainali ya SportPesa Super Cup
Related Posts:
Lissu aeleza A-Z Jinsi Tulivyopigwa na Tutakavyoendelea Kupigwa Kwenye Sekta ya Madini Mnadhimu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akizungumza na Muungwana Tv amesema kuwa Sakata la Mchanga wa Dhahabu lina tokana na ubovu wa sheria zetu pamoja na kubanwa na mikataba ya kimataifa.L… Read More
Waziri wa Madini Enzi za JK Aibuka Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema Serikali ilikuwa na mpango wa kujenga mtambo wa kuchenjua madini tangu muda mrefu. Amesema hayo leo Ijumaa bungeni wakati akifafanua tuhuma zinazotolew… Read More
Maagizo ya Rias Magufuli kwa Jeshi la Polisi leo Juni 2, 2017 Rais wa John Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia weledi wake kwa kiwango cha juu katika kutekeleza jukumu lake la kulinda raia na mali zao, hasa kukomesha vitendo vya uhalifu. Rais Magufuli ametoa agizo hi… Read More
Azam wafunguka Ishu ya Aishi Manula kusaini Simba Afisa Habari wa klabu ya Azam, Jaffar Iddi amefunguka na kukanusha taarifa zinazoendelea mitaani kuwa kipa namna moja wa Azam FC, Aishi Manula amesaini mkataba na klabu ya Simba na kudai kuwa mchezaji huyo bado atabaki Aza… Read More
Kemikali za Kutengeneza Dawa za kulevya Zilivyonaswa Dar Mamlaka ya Kupambana na Kuthibiti Madawa ya Kulevya ‘unga’, leo imekamata na kukagua kontena mbili zenye kemika zaidi ya lita 5,000 ambazo kama zikichepushwa zinaweza kutengeneza dawa za kulevya ‘unga’. Operesheni hiyo … Read More
0 comments:
Post a Comment