Wednesday, 14 June 2017

Gari lenye kasi zaidi duniani latarajiwa kufanyiwa majaribio Oktoba

Bloodhound SSCHaki miliki ya pichaBLOODHOUND SSC
Image captionMradi wa Bloodhound mara ya kwanza ulitangazwa mwaka 2008
Gari lenye mwendo wa kasi zaidi duniani litakimbia kwa mara ya kwanza kabisa tarehe 26 mwezi Oktoba,
Gari litakimbia kwa kasi ya chini wakati wa majiribio kwenye uwanja wa ndege wa Newquay huko Conawall
Wahandisi wanataka kukagua mitambo yote ya gari hilo kabla ya kulipeleka nchini Afrika Kusini mwaka ujao, kukimbia kuvunja rekodi ya mbio ya kasi zaidi ardhini.
Newquay airportHaki miliki ya pichaCOPERNICUS/SENTINEL HUB
Image captionBarabara ya Newquay ni fupi kuiruhu Bloodhound kufikia kasi yake
Kwa sasa rekodi ya kasi ardhini ni 763mph au 1,228km/h, na gai hilo linalofahamika kama Bloodhound litaongeza kasi kwanza hadi 800mph na kisha 1000mph.
Majaribio ya Newquay hayatafikia kasi kama hiyo kwa kuwa barabara ya mita 2,744 ni fupi kiliwezesha Bloodhound kushika kasi.
Badala yake dereva Andy Greren, ataliendesha gari hilo kwa kasi ya 200mph likitumia injini ya ndege aina ya Eurofighter-Typhoon
Newquay airportHaki miliki ya pichaBLOODHOUND SSC
Image captionMoja ya maeneo yaliyotumiwa kwa mradi wa Bloodhound
Bloodhound SSCHaki miliki ya pichaBLOODHOUND SSC
Image captionBloodhound SSC
Itakua siku ngumu kwa Dereva Andy Green kwa sababu itakuwa mara yake ya kwanza kuliendesha gari hilo.
Matarajio ni kuwa Bloodhound litapelekwa eneo la Hakskeen Pan huko Northen Cape nchini Afrika Kusini kwa muda wa mwaka mmoja hivi unaokuja kajaribu kutimiza lengo lake,
Ili hilo liweze kufanyika, awamu nyingine ya uundaji wa roketi hiyo ni lazima ukamilike.
Hakskeen PanHaki miliki ya pichaBLOODHOUND SSC/OLI MORGAN
Image captionEneo lililotengezwa huko Hakskeen kuwezesha Bloodhound kufikia kasi yake

Related Posts:

  • Dkt Mpango awasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2016 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2016 na Mpango wa maendeleo ya uchumi wa Taifa Kwa Mwaka 2017/2018. Akiwa… Read More
  • Qatar yaapa kutosalimu amri mzozo wake na nchi za KiarabuHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionSaudi Arabia na nchi nyingine kadha za Kiarabu zimesitisha safari za ndege kuingia na kuondoka Qatar Qatar imeapa kwamba haitasalimu amri katika mzozo wake kuhusu sera yake ya kigeni na… Read More
  • Wakamatwa na dawa za kulevya Mwanza Jeshi la Polisi Mwanza linawashikilia watu wanne baada ya kuwakuta na dawa za kulevya aina ya Mirungi mafungu 57 yenye ukubwa wa kilogramu 56.75 ambayo yalikuwa yamewekwa kwenye mabegi na magunia.Kamanda wa Polisi Mwanza, A… Read More
  • Ester Bulaya asema: Hamjatuziba midomo Mbunge wa Bunda Mjini Mh. Ester Bulaya ametoa salamu kwa Wabunge wa CCM pamoja na Spika Job Ndugai kutambua kwamba hata baada ya kumuadhibu kutohudhuria vikao bya bunge siyo silaha ya kuwafunga midomo.Bulaya amefunguka hayo… Read More
  • Mwanasheria Mkuu wa TBS Afikishwa Mahakamani Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Marco (54) amepandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuishi na kufanya kazi nchini bila kuwa na  kibali.Mwendesha Mashtaka w… Read More

0 comments:

Post a Comment