Mamlaka nchini Uhispania zitamfungulia mashtaka nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, akishutumiwa kwa kukwepa kulipa kodi kiasi cha doa za kimarekani milioni 16.5.
Waendesha mashtaka wamedai kuwa kodi ni kuanzia mwaka 2011 mpaka 2014 na inahusu mapato ya nje na uwanja na haki za picha zake
Mwezi Desemba, nyaraka zilizovuja zilieleza kuwa Cristiano Ronaldo amekwepa kodi kutokana na kipato chake kuwekwa kuwekwa kwenye akaunti za nje ya hispania
Ronaldo amekana shutuma hizo. Na msemaji wa wakala wa mchezaji huyo alisema mwezi uliopita kuwa mchezaji huyo hakuwa na chochote cha kuficha.
SOURCE:BBC
0 comments:
Post a Comment