Tuesday 13 June 2017

Watu 4 wapigwa risasi mjini Munich, Ujerumani

Polisi walimpiga risasi na kumjerudi mshambuliaji ambaye sasa yuko kizuizini.
Image captionPolisi walimpiga risasi na kumjerudi mshambuliaji ambaye sasa yuko kizuizini.
Polisi mmoja mwanamke amepigwa risasi kichwani wakati mwamamume mmoja alipampokonya bunduki yake katika kituo kimoja cha treni mjini Munich.
Mwanamke huyo alijeruhiwa vibaya pamoja na watu wawili waliokuwa kando ambao walijeruhiwa awakti wa ufayatuaji huo wa risasi, kwa mujibu wa polisi.
Polisi walimpiga risasi na kumjeruhi mshambuliaji ambaye sasa yuko kizuizini. Polisi wanasema kuwa hakikuwa kisa cha ugaidi.
Oparesheni kubwa ya polisi inaendelea na huduma za usafiri wa reli zimesitishwa
Watu waliokuwa kando pamoja na mshukuwa hakujeruhiwa vibaya
Polisi wanasema kuwa hakuna hatari yoyote kwa umma
Oparesheni kubwa ya polisi inaendelea na huduma za usafiri wa reli zimesitishwaHaki miliki ya pichaEPA
Image captionOparesheni kubwa ya polisi inaendelea na huduma za usafiri wa reli zimesitishwa






0 comments:

Post a Comment