Friday, 16 June 2017

Picha: Gari ya kifahari zaidi duniani

 Huenda ukawa umesikia story nyingi kuhusu magari yaliyoingia sokoni 2017 ila hii ikawa ilikupita. Ni kampuni ya kutengeneza magari ya kifahari dunia Rolls Royce imeingiza sokoni gari ghali zaidi dunia inayoitwa Rolls Royce Sweptail.

Hii imekuwa kawaida kwa watu wenye fedha zao kufanya manunuzi ya magari, nyumba na vitu vingine kwa gharama kubwa na hii Rolls Royce Sweptail inauzwa Dollar 13m za Marekani ambazo ni sawa na Tsh. 29b na unaambiwa utengenezaji wake umefanywa kwa miaka minne ikiwa ni agizo maalum la mteja kuanzia mwaka 2013.





0 comments:

Post a Comment