Saturday, 17 June 2017

Fanya hivi kujichunguza kama una saratani ya matiti ( BREAST CANCER )



Saratani ya matiti imekua ikiwatesa wanawake wengi kutokana na dalili zake kutoonekana mapema na pia wakati mwingine hali hii hutokea kwa sababu hawana tabia ya kuchunguza afya zao mara kwa mara na kupeleke kugundulika kua wana saratani ikiwa  ugonjwa huo upo katika hali mbaya (late stage) Kumbuka kujichunguza ndio njia bora ya kugundua saratani ikiwa bado ndogo, na una weza kujichunguza mara 2 au tatu kila mwezi.

Zifuatazo ni hatua tano muhimu katika kujichunguza kama una satratani ya matiti.

0 comments:

Post a Comment