Sexy lady wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ amefungukia madai kuwa, kwa sasa ametengeneza urafiki wa muda na ndimu, samaki wabichi na ukwaju kwa kinachosemekana ni mjamzito.
Huku akionesha kushtushwa na habari hizo zinazoenezwa bila kutaja mhusika wa kibendi hicho, Uwoya alikuwa na haya ya kusema:
“He! Mimi? Mjamzito? Jamani imekuwa too much (imezidi), watu wanaongea kama hawana mambo ya kufanya maishani, kinachowashtua wengi ni mabadiliko ya mwili wangu. Unajua nimenenepa kwa kweli, inafika mahali mtu anaridhika na maisha.
Mwili nao unabadilika kutokana na sababu za kibaiolojia, sina njaa kama zamani. Napata madili mengi, hivyo lazima niridhike na kunenepa, wengi wanadhani ni mimba na hata familia yangu, walidhani ni hivyo, lakini sina mimba na hata sifikirii kufanya hivyo kwa sasa,” alisema Uwoya
Monday, 5 June 2017
Home »
» Uwoya astushwa na habari za Ujauzito
Uwoya astushwa na habari za Ujauzito
Related Posts:
Hizi ndizo sababu za Bulyanhulu kumzuia RC Kahama. Meneja Ufanisi na Maendeleo ya Jamii wa mgodi wa Bulyanhulu, Elias Kastila amesema kilichosababisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terrack na msafara wake kushindwa kuingia ndani ya mgodi huo ni mfumo wa ulinzi u… Read More
Ben Pol amjibu Baraka The Prince Mwanamuziki wa miondoko ya RnB bongo, Ben Pol amejibu ‘diss’ ya Baraka The Prince kuhusu ujio wa wimbo wake mpya na kusema kuwa amesha msamehe siku nyingi, kabla hata hamjamkosea huku akiongeza kwamba anajitahidi kumsaidia … Read More
Huu ndio ugonjwa unaomsumbua mbunifu wa nembo ya Taifa RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa kiafya aliofanyiwa mbunifu wa Nembo ya Taifa (bibi na bwana), Francis Ngosha (86) katika Kitengo cha Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Mkoa ya Amana, inaonyesha kuwa anakabiliwa na tatizo la l… Read More
Kenya: Afariki dunia baada ya kutabiri kifo chake Irene Chris aliolewa kwa harusi Agosti 2016 na mumewe Chris Mwangi - Mnamo January 2017,Irene aliandika katika mtandao wa kijamii kwamba alikuwa akielekea mbinguni na kuwaomba watu kutuma salamu -Miezi minne baadaye… Read More
Povu lamtoka Wolper kuhusu madai ya Kunuka Mwili Staa wa filamu ‘grade one,’ ‘Jacqueline Wolper’. Staa wa filamu ‘grade one,’ ‘Jacqueline Wolper’ ametokwa povu si la nchi hii baada ya kubanwa kuhusiana na madai ya kunuka mwili na kusema hajawahi kunuka maishani mwake na … Read More
0 comments:
Post a Comment