Wednesday 7 June 2017

Kwa taarifa yako, ndoa inaimarisha moyo

Ulaya
Image captionUvalishanaji pete
Utafiti nchini Uingereza umebaini kwamba ndoa inaleta afya ya moyo.
Utafiti uliofanywa kwa zaidi ya miaka 13 kwa zaidi ya watu laki tisa ambao wana matatizo aina tatu ya moyo, umebaini kwamba wanandoa wenye kiwango kikubwa cha lehemu wana asilimia 16 ya kuishi kuliko wale ambao hawako kwenye ndoa.
Wale anaougua maradhi ya kisukari na presha pia walikuwa katika hali nzuri.
Watafiti wanaamini, ingawa hawawezi kuthibitisha, kwamba wanandoa wenye furaha wanaweza kukushajiisha kuishi vizuri.

0 comments:

Post a Comment