Tuesday, 16 May 2017

Kijana aliyeunda setilaiti ndogo zaidi Indi

Rifath aliviambia vyombo vya habari kuwa kifaa hicho kitafanya safari ya saa nne.
Rifath aliviambia vyombo vya habari kuwa kifaa hicho kitafanya safari ya saa nne.
Kijana mmoja nchini India ameunda kile kinachotajwa kuwa setilaiti ndogo zaidi ambayo itawekwa kwenye mzingo wa dunia katika kituo cha shirika la safari za anga za juu la Marekani Nasa mwezi Juni.
Kifaa hicho cha Rifath Shaarook cha uzito wa gramu 64, kilichaguliwa kama mshindi wa shindano lililodhaminiwa na Nasa.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 18 anasema kuwa wajibu ni kuoyesha uwezo wa chapa ya 3-D.
Rifath aliviambia vyombo vya habari kuwa kifaa hicyo kitafanya safari ya saa nne.
Setilaiti hiyo imepewa jina KalamSat, baada ya jina la rais wa zamani wa India Abdul Kalam,
Setilaiti hiyo imepewa jina KalamSat, baada ya jina la rais wa zamani wa India Abdul Kalam
Wakati huo setilaiti hiyo itasafiri kwa muda wa dakika 12 katika mazingira sawa na ya angani,.
"Tuliitengeneza kutoka mwanzo," alisema.
Satellite hiyo imepewa jina KalamSat, baada ya jina la rais wa zamani wa India Abdul Kalam, ambaye ni mwanzishi wa miradi ya anga za juu ya nchi hiyo.
Mradi huo ulichaguliwa kutoka shindano kwa jina Cubes in Space, lililoandaliwa na NASA pamoja na kampuni ya elimu ya idoodle.
source:bbc

Related Posts:

  • Marekani kufanya majaribio ya kudungua komboraImage captionMfumo wa kudungua makombora wa Marekani uliopelekwa Korea Kusini Idara ya jeshi nchini Marekani kwa mara ya kwanza itajaribu kudungua kombora la masafa marefu lililo na uwezo wa kufyatuliwa kutoka bara moja hadi … Read More
  • Trump 'atengwa' na wenzake G7Image captionRais Trump ametengwa na wenzake kuhusiana na makubaliano ya tabia nchi yaliofakiwa mjini Paris Viongozi katika mkutano wa G7 wametofautiana kuhusu taarifa ya mabadiliko ya tabia nchi. Viongozi sita walikubaliana… Read More
  • Wauawa kwa kuwalinda wanawake Waislamu MarekaniHaki miliki ya pichaCBS/EVNImage captionPolisi wanasema mwanamume aliyekuwa akitukana, aliwageukia wanaume hao waliojaribu kuingilia kati Polisi katika mji wa Portland nchini Marekani, wanasema wanaume wawili waliuawa, walipo… Read More
  • Gavana asema al-Shabab huenda wakateka eneo la KenyaImage captionRamani ya Somalia Viongozi wa eneo la mashariki nchini Kenya wameonya kwamba maeneo ya taifa hilo huenda yakanyakuliwa na wapiganaji wa Al-Shabab. Gavana wa kaunti ya Wajir ambayo inapakana na taifa la Somalia a… Read More
  • Bomba la kupitisha pombe kujengwa UjerumaniHaki miliki ya pichaAFPImage captionPombe itakuwepo kwa wingi katika tamasha hilo Waandalizi wa Tamasha maarufu la muziki wa rock nchini Ujerumani wamewahakikishia wateja zaidi ya elfu 75 kwamba, katu! hawatokumbwa na kiu ya … Read More

0 comments:

Post a Comment