Sunday, 14 May 2017

DIPLOMA AJUCO WAICHAPA SECOND YEAR AJUCO

Ligi ya AJUCO (inter class) imeendelea leo  katika viwanja vya RMA ambapo mechi nne zilichezwa na mechi ya kwanza ilichezwa kati ya AJUCO second year na AJUCO diploma majira ya saa nane mchana.




Lakini kwa upande wa Mwaka wa pili wameanza ligi kwa bahati mbaya kwa kukubali kipigo cha goli moja bila (1-0) kutoka kwa wapinzani wao AJUCO diploma goli ambalo lilifungwa na mshambuliaji  SAMWELI MBANO mnamo dakika ya 20. Hadi mpira unamalizika Second year walikuwa wameshindwa kuchomoa goli hilo.

0 comments:

Post a Comment