Wednesday, 24 May 2017

Nape amposti Rais Magufuli na kuandika Ujumbe huu


Mbunge wa Mtama mapema leo hii baada ya Rais John Magufuli kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospita Muhongo kutokana na wizara yake kutowajibika na kashafa ya Makontena ya Mchanga wa w Dhahabu.
Rais Magufuli amepokea taarifa ya awali  ya uchunguzi wa Kontena za mchanga wa Dhahabu.
Nape Mnauye amemsifu kitendo cha Rais 
Magufuli kuwawajibishwa watendaji wa serikali na kumpongeza kwa kitendo hicho

Related Posts:

  • Trump kuzuru Israel chini ya ulinzi mkali Rais wa Marekani Donald Trump anazuru Israel na Maeneo ya Wapalestina leo, akiendelea na ziara yake ya kikazi katika maeneo ya Mashariki ya Kati. Atafika maeneo hayo akitokea Saudi Arabia, mshirika muhimu wa Marekani, amba… Read More
  • Rwanda yaitoza MTN faini ya dola milioni 8 Kampuni kubwa ya mawasiliano ya MTN tawi la Rwanda imetozwa faini ya zaidi ya dolla milioni 8 za Marekani kwa kile kilichotajwa kuwa kukiuka makubaliano baina yake na serikali ya nchi hiyo. Kampuni hiyo yenye wateja takrib… Read More
  • Libya yakabiliwa na vita vya ndani Taarifa kutoka nchini Libya zinaelez kwamba jeshi liloljitangaza kuwa la taifa hilo, ambalo linaunga mkono mamlaka yenye makao yake katika mji wa mashariki wa Tobruk,limefanya mashambuliuzi kadhaa ya anga dhidi ya vikosi pi… Read More
  • Tamko la mradi wa bomba la mafuta ghafi lasainiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakitia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima… Read More
  • Trump aipa Tanzania $526m kukabiliana na ukimwi Serikali ya Marekani kupitia ofisi ya rais Donald Trump imetangaza kupatia Tanzania ufadhili wa kukabilana na virisu vya ukimwi. Marekani, ambayo siku chache zilizopita ilitangaza kusimamisha ufadhili wake kwa wizara ya af… Read More

2 comments:

  1. Iko poa endelea kutuhabarisha. Lakini ukitata blog yako uanze lipwa usisite wasiliana nami.

    ReplyDelete
  2. Iko poa endelea kutuhabarisha. Lakini ukitata blog yako uanze lipwa usisite wasiliana nami.

    ReplyDelete