Friday, 2 June 2017

Lissu aeleza A-Z Jinsi Tulivyopigwa na Tutakavyoendelea Kupigwa Kwenye Sekta ya Madini


Mnadhimu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akizungumza na Muungwana Tv amesema kuwa Sakata la Mchanga wa Dhahabu lina tokana na ubovu wa sheria zetu pamoja na kubanwa na mikataba ya kimataifa.

Lissu ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria TLS amesema kuwa hali hii ya kuibiwa madini yetu, tazama video kwa kubonyeza link hapa  nchini.

>>>>>>>>>https://youtu.be/LS-q2zZWwec



source:muungwana

0 comments:

Post a Comment