Mbunge John Mnyika atolewa nje ya Bunge kwa amri ya Spika Job Ndugai na kuamriwa kutohudhuria vikao kwa siku 7 baada ya kutokea malumbano leo.
Kufuatilia tukio hilo Wabunge wa Upinzani wametoka nje baada ya Mbunge huyo kutolewa nje na Askari wa Bunge kwa amri ya Spika.
Vilevile, Mamlaka ya Bunge kupitia Kamati ya Maadili kumjadili Mbunge Esther Bulaya kwa kuhamasisha wabunge kutoka nje ukumbi wa Bunge
Friday, 2 June 2017
Home »
» Wabunge wa Upinzani Wasusia Bunge na Kutoka Nje
Wabunge wa Upinzani Wasusia Bunge na Kutoka Nje
Related Posts:
Aliyeanzisha kampeni ya 'Magufuli Baki' akimbilia TCRA Mmalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kufuatilia kwa makini mawasiliano ya simu za mkononi ili kubaini watu wanaotumia mitandao hiyo kinyume na sheria. Ombi hilo limetolewa na mwanaharakati Lawrence Maba… Read More
Marekani yakana kutaka kuing’oa Korea Kaskazini Serikali ya Marekani kupitia waziri wa maswala ya kigeni Rex Tillerson, imesema haina dhamira ya kuing’oa madarakani utawala wa Korea Kaskazini, wakati huu ambao kumekuwa na hali ya wasiwasi juu ya mpango wa silaha za n… Read More
Watoto walioungana kutengenishwa baada ya miezi sita Daktari Bingwa Hospitali ya Taifa Muhimbili aliyebobea katika fani ya upasuaji wa watoto Afrika Mashariki, Zaituni Bokhari amesema baada ya kufanya vipimo, imegundulika kuna uwezekano wa kuwatenganisha watoto mapacha waliozal… Read More
Urusi: Marekani imetangaza ''vita vya kibiashara'' kwetuWaziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amesema kuwa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya taifa hilo ni sawa na kutangaza vita vya kibiashara. Amesema kuwa mikakati iliotiwa saini na rais Trump inaonyesha udhaifu wa r… Read More
Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto Tabora Watu watano wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wanaosaidikiwa kuwa ni sungusungu katika kata ya Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amezitaka Kamati za Ulinzi na usalama … Read More
0 comments:
Post a Comment