Tuesday 2 May 2017

NEEMA MKOA WA RUVUMA

Taarifa njema kwa wakazi wa mkoa wa ruvuma hasa wilaya ya Songea manispaa.Kutokana na mahitaji ya computer kuongezeka kila siku na maisha kutegemea sana computer kiasi kwamba kuna baadhi ya kazi ambazo haziwezi kufanyika bila kuwepo kwa computer. Lakini computer huwa na matatizo mengi sana ambayo yanaweza kumfanya mtumiaji kuichukia computer hiyo. Kwa kutambua swala hilo, kuna kampuni ambayo ni mobile company (kampuni ambayo inatembea) inayojishughulisha na maswala ya computer maintenance, software installation and computer troubleshooting. Bei zao ni nafuu sana tafadhali wasiliana nao waweze kukuhudumia.
CONTACTS: 0673406132
0767167870
Email:joshtheone24@gmail.com

0 comments:

Post a Comment