Wednesday, 3 May 2017

BREAKING NEWS!!!!




Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa whatsapp na hujui chochote kilichotokea usiku wa kuamkia leo, taaarifa ni kwamba mtandao wa whatsapp ulitoweka hewani ghafla duniani kote majira ya usiku. Mtandao huo ulianza kutoweka hewani katika nchi ya Uingereza na baadae kufuatiwa na Brazil, na baaada ya hapo ilikuwa dunia nzima.
Lakin hadi sasa mtandao huo maarufu duniani wenye watumiaji zaidi ya bilion kumi(10 bil), umesharejea na unafanya kazi vizur.
Hadi sasa bado chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kama ni tatizo la kiufundi au waliamua tu kuuuzima au ulikuwa ni uvamizi wa kimtandao maarufu kama HACKING. Blog hii itaendelea kukupa taaarifa zaidi kuhusu tukio hili.

1 comment: