Wednesday, 3 May 2017
Home »
» BREAKING NEWS!!!!
BREAKING NEWS!!!!
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa whatsapp na hujui chochote kilichotokea usiku wa kuamkia leo, taaarifa ni kwamba mtandao wa whatsapp ulitoweka hewani ghafla duniani kote majira ya usiku. Mtandao huo ulianza kutoweka hewani katika nchi ya Uingereza na baadae kufuatiwa na Brazil, na baaada ya hapo ilikuwa dunia nzima.
Lakin hadi sasa mtandao huo maarufu duniani wenye watumiaji zaidi ya bilion kumi(10 bil), umesharejea na unafanya kazi vizur.
Hadi sasa bado chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kama ni tatizo la kiufundi au waliamua tu kuuuzima au ulikuwa ni uvamizi wa kimtandao maarufu kama HACKING. Blog hii itaendelea kukupa taaarifa zaidi kuhusu tukio hili.
Related Posts:
Wahamiaji 1000 waokolewa pwani ya LibyaImage captionWahamamiaji huwa na imani ya kupata maisha bora zaidi Ulaya Vikosi vya uokoaji vinavyofanya kazi katika pwani ya Libya vimeokoa zaidi ya wahamiaji elfu moja kwa siku moja. Walikuwa katika boti dogo lililokuwa li… Read More
Wamiliki wa Makentena ya Magogo yaliyonaswa bandarini kufikishwa Kortini SERIKALI inaendelea kuchunguza wamiliki wa Makontena matano ya magogo yaliyokamatwa bandarini mwaka juzi, kuwafikisha mahakamani.Shehena hiyo ya magogo ya mti aina ya Mkulungu ilikamatwa Novemba 5, 2015 yakion… Read More
Bungeni hapatoshi Sakata la Makinikia BUNGE limeingia siku ya nne jana kujadili Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2017/18, huku wabunge kadhaa wakiraruana kuhusu ripoti ya pili ya kamati iliyoundwa na Rais Dk. John Magufuli, kuhusu mchanga wa dhahabau (makinikia)… Read More
Hizi ndizo adhabu za watuhumiwa wa Makinikia wakikutwa na hatia BAADHI ya wanasheria, wabunge waliomo katika kamati inayoshughulikia sheria na katiba na pia wachambuzi wa masuala ya kisheria, walisema kuwa yeyote miongoni mwa wanaochunguzwa sasa na vyombo vya dola anaweza kukumbana n… Read More
Takukuru: Tunaendelea Kuwahoji watuhumiwa wa Makinikia TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru imesema kuwa inaendelea kuwahoji watuhumiwa wote walitajwa kwenye sakata la kusafirisha Makinikia ya madini nje ya nchiOfisa Habari wa (Takukuru), Mussa Misalaba, ames… Read More
Mbona mm nilitumia mda wote bila athar yyt ile
ReplyDelete