Friday, 2 June 2017

HATIMAYE:Kaburi la Ivan latakiwa kufukuliwa

Mwanasheria Tugume Gideon ameiomba Mahakama Kuu ya Uganda iruhusu kaburi la Ivan Semwanga lifukuliwe ili watoe fedha zilizomwagwa ndani akidai kuwa ni kunyume cha Sheria

source:muungwana

0 comments:

Post a Comment